Monday, 5 March 2018

Sisi Wana wa Dunia

1 comment:

Unknown said...

Ni wimbo wa zamani,unahusu ujumbe wa Bikira Maria alopowatokea fransisca,Yasinta na Lusia Kule fatima.Ujumbe ulikuwa watu wasali rozari kwa ajili ya amani duniani na ungofu wakosefu.Tunahitaji kusali daima ili tupate baraka ya amanina kuweza kutenda matendo mema.Sala au maombi ni silaha kubwa sana katika maisha.Katika kanisa Katoliki sala ya rozari ni sala muhimu sana na huleta matokeo mazuri.

WAKUPELEKA HUKUMUNI by P F Mwarabu